NAMNA YA KUJIPATIA KIPATO KUPITIA ADSENSE KWA BLOG YAKO




Ingawa kwa sasa Google Adsense wanatoa malipo yao kutumia Euro lakini concept ni ile ile, angalau Upate Euro 10 kwa siku basi kwa kima cha chini. Wengi wetu ambao tunamiliki akaunti za Adsense hujikuta tukishindwa kwani kwa siku huweza kuingiza wastani wa Euro 0.08-0.5 hadi 1.00, kiuhalisia hiki ni kiasi kidogo sana cha pesa ikiwa umedhamiria kujipatia kipato kupitia online ndo kazi yako, lakini hili lisikukatishe tamaa, badala yake ongeza juhudi na mazingatio kupitia waliofanikiwa kabla yako. Fuata hatua hizi naimani utayaona mabadiliko:-

make-money-with-adsense
1. Hakikisha unaandika mada/Posts angalau 5 kwa siku ili ndani ya mwezi uwe na Post 150
2. Angalia na ujifunze jinsi ya kuandika mada/articles za kufanan na maudhui ya blog katika mitandao mfano unaweza tembelea  http://ezarticlelink.com/articlespinner/free.php na ukijionea zaidi.
3. Anza kuwaalika watu katika blog ili angalau upate watembeleaji 100 kwa siku ambao wanaweza kukupa page views zaidi ya 1000 kwa siku. Hapa katika watembeleaji unaweza tumia mitandao ya kijamii kama Facebook, sms kupitia simu na pia kujiunga na blogs zingine zenye kufanana maudhui halafu una link na blog yako.
Pamoja na yote, inatakiwa subira ya hali ya juu na ubunifu wa kila hali.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment