Kwa Bloggers wengi walio wachanga na wale wazoefu wamekuwa na shauku ya kujua namana ya kuweka gadget ambayo itawasaidia kuweza ku-add kiboksi cha kuhesabia maoni ya wachangiaji.
Ni rahisi sana chamsingi inabidi utulie na kusoma haya maelezo kwa makini ili uweze kufanikisha jambo hili.
BOFYA HAPA CHINI KUWEZA KUINGIA KWENYE UKURASA WA MAELEKEZO
EXEIDEAS
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment